MASJID IRSHAD NA MADRASAT IRISHAD INAPATIKANA SOMBETINI MTAA WA NJIA YA NGOMBE
BISMILAHIR RAHMANIR RAHIYM
HISTORIA FUPI Y A MADRASA YA KINAMAMA MADRASAT IRSHAD NJIA N’GOMBE MADRASA HII ILIANZA RASMI TAREHE 5/6/2014 CHINI YA USIMAMIZI WA MWALIMU HUSSEIN ISSA RWEYUNGIZA NA IIANZA NA WANAFUNZI SITA ( 6 )
KWAKUZINGATIA DARASA HILI NI LA KINAMAMA TULILAZIMIKA KUANZA NA BAADHI YA MASOMO KATIKA FIQHI NA KHUSWANI KATIKA MILANGO INAYOELEZEA HADATH,NAJSI ,TWAHARA , NA UDHU .KISHA TUANZA KUJIFUNZA QUR-AN NA SWALA
MWAKA 2011 MWEZI WANANE TULILAZMIKA KUHAMA KUTOKA MADRASA YA MSIKITINI BAADA YA IMAMU WA WAKATI HUO NA MWALIMU WA MDRASA YA DHULFIKRA BWANA ADULKARIMU MHIDINI KUTUFANYIA FUJO NA KUFUNGA CHUMBA TULICHOKUWA TUNASOMEA
NA SABABU YA KUSIMAMISHWA KWAKWE NI KUTOKANA NA TABIA ZAKE MBAYA AMBAZO ZILIKIUKA MAADILI YA DINI YETU NA HASA KILE KITENDO CHAKE CHA KUFANYA GHISHI HATI YA JENGO LA MADRASA NA KULIFANAYA KUWA MALI YAKE .
HIVYO TULILAZAMIKA KUHAMIA NYUMBANI KWA MAMA KIONGOZI WA KINA MAMA AJULIKANAE KWA JINA LA FATUMA JUMA NKUNGU AMBAPO MPAKA HIVI SASA TUNAENDELEA KUSOMEA HAPO
NA TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU PAMOJA NA MITIHANI INAYO TUPATA IDADI YA WANAFUNZI INAZIDI KUONGEZEKA KUTOKA WANAFUNZI SITA WA AWWALI MPAKA WANAFUNZI ISHIRINI NA MOJA WA HIVI SASA KITU AMBACHO SICHAKAWAIDA KULINGANA NA MJI WETU JINSI ULIVYO NA HASA DARASA ZA KINAMAMA ZINAVYOKUWA .
PIA KATIKA IDADI HIYO YA WANAFUNZI ISHIRINI NA MOJA KUNA WANFUNZI WATATU NI WA KUSILIMU NA YOTE HII NI KWA JITIHADA ZA MWALIMU HUSSEIN NA MAENDELEO YA WANAFUNZI WOTE KWA UJUMLA NI MAZURI
PIA MADRASA HII ILIFANIKIWA KUFANYA MAHAFALI MARA MBILI MWAKA 2012 NA MWAKA 2013 BAADA YA KINAMAMA WALIOANZA KUSOMA KUWEZA KUMALIZA JUZUU YA AMMA NA HIVI SASA WAKO KWENYE MSAHAFU NA ALHAMDULILAHI MAHAFALI YOTE HAYA TULIMUALIKA KIONGOZI WETU WA JUU KATIKA MKOA WETU SHEIKH SHABAN JUMA.
MWISHO TUNAMALIZIA HISTRIA HII FUPI KWA KUMUOMBEA DUA MWALIMU WETU DUA NJEMA KWA JITIHADA ZAKE ZA KUTUPATIA NURU YA ULIMWENGUNI NA AKHERA PAAMOJA NA KUWA ANAKUMBANA NAMISUKOSUKO MINGI NA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU ALIDUMISHE DARASA LETU AAAMIYN NA.
NA YAFUATAYO NI MAJINA YA WANAFUNZI :-PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO TUTAKULETEA MUDA SIMREFU ENDELEA KUFUATILIA TAARIFA HII.
1.FATUMA JUMA NKUNGUU / KIONGOZI MKUU
2.HALIMA JABIR KATURA
3.BATULI KHAMIS HUSSEIN / KATIBU
4.MARIYAMU ZUBERY SAID
5.HUSNA GODFREY / KIONGOZI MSAIDIZI
6.HALIAM HATHUMAN LUBUNA
7.HUSNA BAKARY ADAMU
8.FARIDA JUMA
9.SUBIRA
10.AZIZA MOHAMED NKUMBI
11.MARIYAMU TOBIASI RAFAEL
12.FAUZIA RAMADHAN MUNKAJI
13.JAMILA ATHUMAN MHANDO
14.MARIYAMU HUSSEIN RAMADHAN
15.SAUMU ZUBERY SAID
16.SHAMIM TWAHA ABBAS
17.SUBIRA AGUSTINO MAGANGA
18.RAHMA RAMADHAN MUNKAJI
19.ADAWIYA YUSUPH RAMADHAN
20.MAMA MFUMIA
21.RUKIA KHAMIS HUSSEIN
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments:
Post a Comment