Madras hii inapatikana katika kata ya Elerai Mtaa wa Shamsi Jiji la Arusha yenye Anwani S.L.P 388 Arusha ,Simu 0752/0783/0715 366505 au 0756 180554,0682 231319 email shamsilmaarif@gmail.com fax +255736608744
Madrasa hii Ilizinduliwa rasmi 8/6/2006 siku ya alkhamisi baada ya swala ya alasir kwa ufunguzi na kutabaruku na maulidi yaliyo somwa na madrasa mbalimbaali za
jirani ,chini ya usimamizi wa viongozi wake wakuu wa madarasa hiyo Mwenyekiti bwana Ally Saidi Manota na katibu wake bwana Muhammad Salimu Khamis , na maustdhi wawili yanani ustadh Masoud Husein Salimu pamoja na ustadh Jabir Muhammad Mandia.
Madrasa hii inao walimu wawili ambao wanaaiendeleza kitaaluma .
Madrasa ilianza na wanafunzi 38 wavulana 18 wasichana 20 kuanzia mwaka 2006 mpaka hivi leo mwaka 2014 tunao wanafunzi 150 na jumla ya wanafunzi wote ambao wamewahi kuandikishwa katika madrasa hii kwa miaka tofauti mpaka kufikia hivi leo idadi yao inafika takriban 800 ila tatizo la madrasa zetu baaadhi ya wanafunzi huwa hawadumu mpaka kukhitimu.
Madrasa hii inafundisha madhehebu ya Imamu Shafiy,
Na inatoa elimu ya kiwango cha ibtidai na mutawasitwa,
Masomo yanayo fundishwa ni Qur-an,Tafsiri ya Qur-an,Hadithi, Fiqhi,Sira, Tawhid,Tajuwid,Mustwalahul Hadith ,Lugha ya kiarabu,Nahau na Swarfa.
Pia inahifadhisha qur-an na hivi sasa tunao wanafunzi wengi ambao wamehifadhi kuanzia juzuu moja mpaka kumi, na tunayo kawida ya kufanya mashindano ya Qur-an kila mwaka tukishirikisha madrasa mbalimbali za Mkoa wa Arusha,Kilimanjaro na Manyara.Tunayo desturi kila mwaka kufanya mashindano ya kuhifadhi Qur-an katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhani kama baadhi ya picha zinavyo onyesha Tunayo madarasa mbalimbali yaani darasa la watoto ambalo huwa tunawafundisha kila siku jioni nakila siku ya jumamosi na jumapili asubuhi kwa sababu ndio muda wanao patikana , pia tunalo darasa la vijana wanaopatikana asubuhi ,pia tualo darasa la kinamama ambalo huwa tunawafundisha kila siku saa nane mchana mpaka saa kumi jioni na tunalo darasa la kinababa ambalo tunawafundisha baada ya swala ya maghribi mpaka isha na kwa wale ambao shule zimewaba wakawa wamekosa muda mzuri wa kusoma huwa tuna utumia muda wa baada ya swala ya isha mpaka saa nne kamili ya usiku .
na kuhusu likizo tuna likizo mbili kwa mwaka mwishoni mwa mwezi wa Ramadhani baada ya mashindano ya Qur-an na mwezi wa Shawwal baada ya kuadhimisha mazazi ya mtume Muhammad ( s.a.w )
USTADH MASOUDI HUSSEIN AKIWA MIMBARI |
USTADH MASOUD HUSSEIN SALIM |
USTADH JABIR MUHAMMAD |
USTADH AKIWA NA BAADHI WA WAZEE WA MADRASAT SHAMSIL MAARIF ARUSHA |
SIKU YA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN |
MSHIRIKI WA KIKE KATIKA MASHINDANO YA MWAKA 2015 |
MSHIRIKI WA KIUME KATIKA MASHINDANO YA MWAKA 2015 |
BAADHI YA MAUSTADHI WAKIWA NA MAJI WA MASHINDANO YA MWAKA 2015 |
ZAWADI KWA MSHIRIKI WA MASHINDANO YA MWAKA 2015 |
ZAWADI KWA MSINDI WA KWANZA JUZUU SABA 2015 |
ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZA WANAFUNZI WA MADRASA HII
AISHA SAID JUMA
SALHA OMARY MOHAMED
SALMA MURSAL LUKULE
MWANAISHA RAMADHAN ADINAN
RAHMA SALIM GORA
SAUMU ISSA KHAMIS
ARAFA MURSAL LUKULE
FATUMA ISMAIL
MARIAM KHATIBU MWANYIKA
FATUMA OKASHI MAABADI
ZAMDA BADI KILAVU
MWANAID OMARY ISSA
SABRINA OMARY MARUSU
MWANAIDI ALLY
FATUMA MASOUD HUSSEIN
SABRINA ABDALLAH
FAIDHA OMARY MOHAMED
SALMA RAMADHANI IBONDO
LEYLA SALIM GORA
SOPHIA
LEYLA ABDALLAH
ZUHURA HUSSEIN
SOPHIA KHALFAN JOUR
SHADIYA ALLY MANOTA
AISHA MOHAMED SALIMU
SHAHAD ALLY MANOTA
MARIAM JABIRI MUHAMMAD
HUSNA JABIRI MUHAMMAD
RADHWIYA AYUBU
HASSANI ABDILAHI KULULA
MOHAMED SWED ABDURAHMAAN
ABDUL RAMADHANI ISSA DUDU
ISSA YUSUPH
MURTADHWA BADI
RAMADHANI MOHAMED
ALHAD SWEDI AAHMANBDUR
MIRAJI IDDY
HUSSEIN MUSSA LAIZER
KHALILU RAMADHANI ISSA DUDU
SELEMANI
ABDURAHAMANI IDDY
ISIHAQA MUSSA LAIZER
JUMA HASSAN
RAHIM ABDULKARIM
OMARY MUSSA
YASIN JUMA MOLELI MESIAN
ABDULMALKI KASSIM
ISSA HASHIM
MUADHI WAZIRI
FADHILI OMARY
SAID KHATIBU MWANYIKA
SELEMANI JABIRI
SHARUNI IDDY
BILALI KIKUJI
TARQ ALLY
HARITH HASHIMU
BILALI
BILALI OMARY
SALIM SADI
ZAHORO SALIM GORA
HAREEQ
SAID KHAMIS LACHA
RAHIM
ALLY
SULEIMANI MUSSA
ISSA RAMADHANI IBONDO
ABUBAKARI ALLY
SELEMANI SAID
ABDUL JABIRI
ALLY IDRISA KIPYOGO
IDDY
TWALBU KHAMISI
SHAIBU
HAMADI RAMADHANI
ABUBAKARI ABDUL
ABDULRAZAK HUSSEIN MBWANA
SIRAJ CHARLES
HAMZA RAMADHANI
NASSORO HAJI
ALLY ATHUMANI MAJID
ABDUL MOHAMEED
YUSUPHU JUMA MOLLEL
SHABANI IDDY
BILALI HUSSEIN MBWANA
SAID ALLY MANOTA
MAHAMUDU SALIM MAULIDI
ABDUL IDDY SHABAN
ABUKHARITH ISSA CHOBU
AYUBU ILIASA DIDA
ABDULLATWIF SULEIMAN
ABDULRAZAK SULEIMANI
JAFARI ABUU YOMBE
HUSSEIN KHATIBU MWANYIKA
RAMADHANI RAJABU
RAJABU HASHIM
OMARY AYUBU SHIJA
YAHAYA KHAMISI
RAMADHANI NJAMA
SAID HASSAN
ALLY ABDURAHMANI
ANAFI ABDURAHMANI
YASIRI HASHIMU
ISSA KHAMIS LACHA
HADIJA
SHAMILA ALLY
HALIMA HUSSEIN DOTHI
SUMAIYA KHAMIS
NASRA OMARY MOHAMED
UMMULKHERI ABUU YOMBE
HUSNA KHAMIS LACHA
ZAITUNI HUSSEINN
SABRINA HASSAN MSANGI
NEEMA KHALIFA HAJJI MLACHA
JAZILA OMARY NGWADU
SHUFAA SALIM MAULIDI
KURUTHUMU JUMA MOLLEL
ALFIA KHAMIS LACHA
ALHAM HUSSEIN ABUSHIR
NASRA HAMIS
FATUMA SAID
MARIAM ISSA KHAMIS
ZAMZAM ABDILAH KULULA
AMINA ABDILLAH KULULA
ILHAM CHALES NJARITA
AISHA IDRISA KIPYUGU
SABRINA YAHAYA
SAUMU HUSSEIN
MULHAT ABDURAHMANI
MWANAIDI OMARY
RAHMA SHABANI CHANDE
HAWA HASSAN ABDIRAHMAN
YASIR ABDALLAH
MRISHO
MOHAMED RAMADHANI
AYUBU KHALID MDOE
RIDHIWAN ISSA
HASSANI ISSA
RAMADHANI RAJABU
YAHAYA MSAFIRI
ANUWARY MOHAMED
RAHIM JUMA MOLLEL
YUSRA HUSSEIN
HALIMA AYUBU SHAWED
NASMA SALIM GORALEYLA ABDALLAH
ASIA KHALIFA HAJJI MLACHA
JAZILA SHABANI
HUSNA LAILU
RAHMA RAHIM MAGHIMBI
SHAKILA NUHU
ZUWENA IDDY SHABAN
MARIAMU ALLY
NASMA WINSILEY
AMINA MURSALI LUKULE
AMINA SAID
HUSNA ABUBAKARI
MWANAID HAJI
RUWAIDA SHABANI CHANDE
UMMU AYUBU
ANUARY JUMA
RAMADHANI JUMA
JAWADU TWAHA
IQRAM HASHIM
MOHAMED
ALLY ALAWI
ABDUL HASSAN
HASSAN OMARY MOHAMED
YUSUPHU OMARY MOHAMED
HUSSEIN OMARY MOHAMEDI
ABUBAKAR HUSSEIN ABUSHIRI
KASSIM
MAJALA
SAIDA SAIDELMINI SEKONDO
HAIDARI HASHIM KILAVO
RASHIDI KHERI DARABU
HADIJA HASSAN MBEDO
AZIZA SALIMU MZAVA
MWANAID SALIM MZAVA
SAFINA KHALIFAN JOUR
SHARIFA ALLY
IDDY ABDUL SEHA
HUSSEIN SALUM HUSSEIN
RASULI ALLY
SAID ALLY
MOHAMED ISSA
NAZIFA ALLY
KASSIM SAID BUKO
SOPHIA HAMIS KASORE
ARAFA MOHAMED RASHID
0 comments:
Post a Comment