MADRASAT SALAAMAT-ISLAAMIYYA ikiwa ndio waandalizi wa mashinadano hayo kama ambavyo tunamuona Sheikh Hussein mkuu wa madrasa hiyo akiwakaribisha wageni wote katika mashindano hayo
| SHEIKH HUSSEIN |
| ZAIDAN BINT RAMADHAN { MSHIRIKI WA JUZUU MOJA} |
| MSHIRIKI WA JUZUU MOJA |
| HUU NDIO UKUMBI ULIO TUMIKA KTK MASHINDANO HAYO |
| BAADHI YA WASHIRI WA MASHINDANO HAYO NI KUTOKA MTOWAMBU,RAUDHWA KISONGO,SHAMSIL MAARIF ARUSHA T.M.A NA WENYEJI WAO SALAMAT ISLAAMIYYA HAPA MONDULI |
0 comments:
Post a Comment