| MC SHEIKH RAJABU H.KIUNGIZA AKIKWA KATIKA MEZA YAKE KWA AJILI YA KUSEMA CHHOCHOTE KUHUSIANA NA HAFLA HIYO. |
| SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA SHEIKH SHABAN JUMA |
| MKURUGENZAI WA KAMPUNI MOJA YA UNGA NAE AKITOA NASAHAA ZAKE |
| MLANGO WA PILI UKISOMWA NA MGENI KUTOKA VISIWA VYA ZANZIBAR KWA MAHADHI YA KWAO |
| VIJANA WAKIWA PEMBENI KABISA WAKITEKELEZA SUNNA YA KUPIGA DUFU |
| JUKWAA LA KIANA MAMA WAO WAKIWA WAMEKETI KWA HESHIMA YA HALI YA JUU WAKIMFURAHIYA MTUME |
| MKUU WA MKOA WA ARUSHA PIA HAKUWA MBALI KATIKA KUJUMUIKA NA WAISLAMU YEYE KAMA KIONGOZI WA MKOA |
| USHAQU NABIY KAMA ANAVYO PENDA KUWAITA NURDINI KISHKI WAKITINGA KUMFURAHIYA KIPENZI WAO MTUME MUHAMMAD |
0 comments:
Post a Comment