Kongamano la Miiraji Tarehe 25/05/2014 saa 2:00 asubuhi Ukumbi wa CCM Mkoa - Arusha. More... Click Here!


Wednesday, 14 January 2015

Filled Under:

MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) YAFANA KONDOA IRANGI KIJIJINI HAUBI BUSI


MAULIDI HAYA YALITANGULIWA NA ZAFA NA HII NI STAILI YA KUONDOKEA KWENYE ZAFA YENYE KUJULIKANA KWA JINA LA KATA CHINJA NA KUNDI KUTOKA ARUSHA LILIONEKANA KUWA NI KIVUTIO ZAIDI KATIKA STAILI MBALI MBALI KATIKA UCHEZAJI WA ZAFA
MAUSTADH KUTOKA ARUSHA WAKIFURAHIYA ZAFA

ZAFA LIMECHANGANYA NA YOTE HII NI KUINYESHA FURAHA JUUU YA JAMBO LA KUMADHIMISHA MTUME S.A.W


HAWA NI WANA ZAHARAU WA HAPA HAPA KIJIJINI WAKISAKATA ZAFA WAKIWA WAMEPENDEZA NA KANZU ZAO


BAADA YA KUZUNGUKA MUDA MREFU HATIMAYE MSAFARA WA ZAFA ULIGEUZA NA KURUDI KWA AJILI YA KUANZA MAULIDI

BAADA YA KUCHEZA ZAFA WATU WOTE WALIKETI NA MAULIDI YALIANZA KWA KUSOMWA QUR-AN YA UTANGULIZI  NA SHEIKH MUKTAR KHAMIS BOY 


BAADA YA MLANGO WA KWANZA USTADH ABUBAKAR MAMBOLEO KUTOKA ARUSHA  ALIKARIBISHWA NA AKAANZA KWA KWAKUMBUSHA WAISLAMU UMUHIMU W A KUWASOMESHA  WATOTO WAO MADRSA KWANI MTUME (S.A.W) AMESEMA WAFUNDISHENI WATOTO WENU MAMBO MATATU KUMPENDA MTUME,KUSOMA QUR-AN NA KUWAPENDA WATU WA NYUMBA        YA MTUME ( AHLU BAYTI SARUUL)
BAADA YA MLANGO WA PILI ILISOMWA QUR-AN KWA MARA NYINGINE NA USTADH UNCLE SAID



MWENYEKITI WA SERIKALI YA KIJIJI BWANA JUMA KIDUKA NAYE HAKUBAKI NYUMA KATIKA MAULIDI HAYO KWA KUIWAKILISAHA SERIKALI AKITOA NASAHA ZAKE KWA KUWAONYA VIJANA  WANAO TUMIA VILEVI KWANI IMEKUWA KAMA FASHENI KWA VIJANA WASASA NA HASA WAISLAMU  KUTUMIA MIRUNGI KITU AMBACHO NI UTUMIAJI MBAYA WA FEDHA

PIA KULIKUWA NA ARAMBEE YA UJENZI WA MSIKITI ULIO ANGUKA ARAMBEE AMBAYO  ILSIMAMIWA NA USTADHI ABDULRAZAAQ NYAMBWA KUTOKA ARUSHA AMBAPO ALITUMIA MBINU YA PEKEE KATIKA KUFANIKISHA ARAMBEE HIYO KWA KUWASIMAMISHA WATU ALIOKUWA ANAWAJUWA  NA KUWAAMBIA WEWE TUNATAKA KIASI FLANI CHA FEDHA ,  PAMOJA NA KUWA HAUBI BUSI  NI KIJIJINI LAKINI MBINU ALIYO ITUMIA ILIWEZESHA KUPAKANA FUNGU LA FEDHA AMBAYO ITAKUWA NI SABABU YA KUENDELEZA MSIKITI HUO NA HIYO NDIYO FAIDA INAYO PATIKANA KWENYE HAFLA MBALI MBALI ZA MAULIDI NA WALA SI KAMA WANAVYO DHANIA MAWAHABI AMBAO WAMEKUJA NA SERA POTOFU KATIKA KUHAKIKISHA WANAWAGAWA WAISLAMU NA KUDHOOFISHA NGUVU ZA WAISLAMU  KITU AMBACHO HAWATAWEZA KWASABABU MAKUNDI YOTE KATIKA UISLAMU YAMEISHA ELEWA ADUI MKUBWA WA WAISLAMU KATIKA ZAMA HIZI NI MUHABI MWENYE KUJULIKANA KWA JINA LA ANSWARI SUNA TUNAMUOMBA M.MUNGU ATUKINGE NA SHARI ZA MAWAHABI

PIA VIJANA WA MADRASA WALIONYESHA UMAHIRI WAO KATIKA QASWIDAMBALIMBALI WALIZO KUWA WAKIZIIMBA NA KUCHEZA KWA KUMFURAHIYA BWANA MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) KWANI M.MUNGU KATIKA QUR-AN KATIKA SURAT YUNUS AYA YA 58 ANAMWAMBIA MTUME MUHAMMAD"SEMA KWA FADILA ZA M.MUNGU NA KWA REHEMA YAKE NA WAFURAHI WAUMINI"NA IMAMU SUYUTIY ALIPOKUWA AKIITAFSIRI AYA HII ALI NAKILI MANENO YA SWAHABA MKUBWA  WA MTUME (S.AW) YAANI IBUN ABBAS AKISEMA:-"FADHILA ZA M.MUNGU NI ELIMU NA REHEMA YAKE NI MTUME MUHAMMAD ( S.A.W) KWA HAKIKA WAISLAMU WANAPO MFURAHIYA MTUME HAWA ZUSHI BALI UELEWA FINYO WA MADHEHEBU YA WAHABI KWA KUTUMIA AYA AU HADITHI SEHEMU ISIYO USIKA.

KUNDI LA SHAMSIL MAARIF KUTOKA KONDOA MJINI KWA SHEIKH BASHIR ALLY NGETE  LIKITUMBUIZA KWA QASWIDA YENYE UJUMBE MZITO JUU YA MTUME MUHAMMAD QASWIDA AMBAYO ILWASISIMUWA WOTE WALIO HUDHURIA NA KUPELEKEA HADHARA NZIMA KUSIMAMA NA KUCEZA KWA FURA WALIO KWA NAYO .





USTADH NYAMBWA NA MADA YAKE YENYE KICHWA CHA HABARI NAMNA GANI  WATU WANAVYO TAKIWA KUMPENDA MTUME MUHAMMAD S.A.W PIA TULIKUWA NA SHEIKH TWALHA LAKINI KUTOKANA NA HALI YA MVUA USIKU HUO HATUKUWEZA KUPATA NASAHA ZAKE

ARDHI YA HAUBI NI ARDHI YENYE KUPAMBWA NA MILIMA KAMA INAVYOONEKNA
SHEIKH SALIMU MOLA NI  KATIKA MASHEIKH WALIO FANYA HARAKATI MBALIMBALI  ZA KIDINI KIJIJINI HAPA ENZI ZAKE,,BAADHI YA MAUSTADH WALIO HUDHURIA MAULIDI HAYO KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI WALIPENDA KUMTEMBELEA NYUMBANI KWAKE NA  HAPA ALIKUWA AKIWANASIHI NAMNA YA KUFANYA KAZI KAMA ALIZO ZIFANYA ENZI ZAKE

HAPA NI NYUMBANI KWA SHEIKH SALIMU MOLA NA HAWA NI BAADHI YA MUSTADH

SHEIKH AKIWAOMBEA DUA NA KUWATAKIA  MAULIDI MEMAMA

0 comments:

Post a Comment

Copyright @ 2014 UWASUWA.

Designed by Japhary | Japhary Juma