Kongamano la Miiraji Tarehe 25/05/2014 saa 2:00 asubuhi Ukumbi wa CCM Mkoa - Arusha. More... Click Here!


Sunday, 22 March 2026

Filled Under:

UKUMBUSHO MWANZONI MWA MWEZI WA SHAWWAL.

Mwezi wa shawwali ni mwezi ambao waislamu wote wasio kuwa na Udhuru wa kisheria wanahimizwa Kufunga siku sita ( 6 ) ambapo mwenye Kufunga Kwa kufuatanisha au kutofautisha muhimu Tu afunge siku hizo kabla ya mwezi huu kuisha .
      Mtume Muhammad (s.a.w) amesema :Mwenye Kufunga Ramadhan Kisha akafuatishia sita katika mwezi wa shawwali anakuwa kama aliefunga mwaka mzima.
     Wapendwa waislamu Hali ikiwa ni kama hivyo nawahimiza kila mmoja ajitahidi kabla ya mwezi kuisha apate siku sita za Kufunga  Allah atuwezeshe na atusamehe makosa yetu
Aamiyn 

0 comments:

Post a Comment

Copyright @ 2014 UWASUWA.

Designed by Japhary | Japhary Juma