NDUGU KHALID LUNG`WECHA NI MWANASHERIA WA KUJITEGEMEA MWENYE KAMPUNI YA MAWAKILI YENYE KUJILIKANA KWA JINA LA LETAN & CO. ADVOCATES YA MJINI ARUSHA |
BAADA YA KIKAO KUFNGULIWA NA MWENYEKITI WA KIKAO HICHO USTADH MASOUD HUSSEIN MOJA KWA MOJA ALIMKARIBISHA MWANASHERIA ILI AENDELEE NA UCHAMBUZI WA RASIMU YA KATIBA YA UWASUWA |
( 1 ) IMAMU ABUHANIYFAH NU`UMAN IBNI THAABIT ambaye alizaliwa mwaka wa 80 hiriyyah na kufa mwaka wa 150 hijiriyyah'
(2) IMAMU MALIK IBNI ANASI IBNI ABIY A`AMIR AL-ASBAAHIY ambaye alizaliwa mwaka wa 93 hijirriyah na kufa mwaka wa 179 hijiriyyah ,
( 3 ) IMAMU MUHAMMAD BIN IDRIYSA ASHAFI`IY ambaye yeye alizaliwa mwaka wa 150 hijiriyyah na kufa mwaka wa 204 hijiriyyah
( 4 )IMAMU AHMED IBNI HANBAL HILAL IBNI ASAD ASHAYBANIY ambaye yeye alizaliwa mwaka wa 164 hijiriyyah na kufa mwaka wa 241 hijiriyyah.
Ama answar sunna wao ni wafuasi wazuri wa sheikh muhammad bin abbdilwaha ambaye kudhihiri kwake ni miaka ya 1143 hijiriyyah kama alivyo lielezea hilo mwenye kitabu afajiri swaadiq ukurasa wa 11.amakuhusu hitoria yake iko siku tutakuja kuielezea kwa ufasaha zaidi.
BAADHI YA WANA UWASUWA WAKIWA KWENYE KIKAO WAKIPEWA UFAFANUZI WA KISHERIA JUU YA RASIMU YA KATIBA YA UMOJA KAMA TUTAKAVYO KUANISHIA MAJINA YAO HIVI PUNDE |
KATIBU WA KIKAO HICHO USTADH ABDUL SHABAN ANTA AKICHUKUA DONDOO KAMA ANAVYO ONEKAKANA AKICHUKUA BAADHI YA DATA |
AMA BAADHI YA WANA UWASUWA SURA ZAO HAZIONEKANI HAPO KUTOKANA NA JAMBO LA DHARURA LILILO JITOKEZA SIKU HIYO WAO WALITUWAKILISHA KULE NASI TULIWAWAKILISHA HAPA. |