NAO KINA BABA WAKIKUNJA KUNJA MIKEKA YAO KWA HUZUNI MSIMU HUU WA MVUA KUTOKANA NA UDOGO WA MSIKITI HUO HUKU WAKTAFAKARI WAPI WATAPATA NGUVU ZA KUUPANUA MSIKITI WAO |
HAO NI BAADHI YA WAUMINI WA MASJID DARUL MUSTWAFA KATIKA JIJI LA ARUSHA KATA YA TERATI MTAA WA BONDENI |
USTADH MASOUD HUSSEIN AKIELEZEA KITU KWA WAUMINI HAO SIKU YA UFUNGUZI HUO ILIHALI BAADHI YA WAUMINI WANAMSIKILIZIA KWA NJE KUTOKANA NA UDOGO WA MSIKITI HUO |
KINAMAMA WAKIWA NA MABINTI ZAO WADOGO SIKU YA UFUNGUZI WA SWALA YA IJUMAA |
0 comments:
Post a Comment