KWENYE JENGO HILI NDIO MAKAO MAKUU YA UWASUWA
WALIMU WOTE WA MADRASA MNAENDELEA KUKARIBISHWA, KAMA AMBAVYO MLIVYO ANZA KUTAPATA TAARIFA ZA AWWALI ZA MIAALIKO MBALI MBALI KUPITIA KWA WANACHAMA WETU MUDA WA DUA HIYO NI BAADA YA SWALA YA ALASIRI .
ITAKUWA NI VIZURI ZAIDI TUKISWALI KWAPAMOJA HAPO SHAMSI. KWASIOWEZA KUFIKA KWADHARURA AU UMBALI TUNAWAOMBA HUKO MLIKO TUSHIRIKIANE KATIKA DUA NA VISOMO MBALIMBALI LENGO KUU NI KUWAREHEMU WALIMU WENZETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI. NYOTE MNAKARIBISHWA