Kongamano la Miiraji Tarehe 25/05/2014 saa 2:00 asubuhi Ukumbi wa CCM Mkoa - Arusha. More... Click Here!


Saturday, 31 May 2014

KINAMAMA PIA HAWAKUBAKI NYUMA KATIKA KUELEZEA SAFARI YA ISRAA NA MIIRAJI

Kinamama wa Madrasat Shamsil Maarif hapa Arusha leo 1/6/2014 kuanzia saa 8:00 mchana  watajumuika na kinamama wenzao wa hapa  Arusha katika kuadhimisha safari hiyo kama tutakavyo kuletea pindi maaadhimisho hayo yatakapo anza

MSKITI MKUU WA IJUMAA KWA MOROMBO LEO 31/5/2014 WAADHIMISHA SAFARI YA ISRAA NA MIIRAJI

Madrasat shamsiyyatil maaroof inayo ongozwa na maustadh Abdul Shaban pamoja na ustadh Wazir Kilama leo hii asubuhi wakishirikiana na waislamu wa kwamorombo Jijini hapa walikuwa wanakumbuka tukio la kihistoria kwa kuelezea safari ya mtume wetu Muhammd (s.a.w) kutoka Masjidil haram.....kama tukavyo kuletea kiukamilifu hapo badae inshaallah

Wednesday, 28 May 2014

IDARA YA FEDHA WAFUATILIA KWA KARIBU BLOG YAO BAADA YA KUZINDULIWA

USATADH ABDUL SHABAN NA USTADH MASOUD HUSSEIN PEMBENI YAO NI KATIBU WA UWASUWA AKIRATIBU BAADHI YA MAMBO WAKATI WA UZINDUZI HUO.

Tuesday, 27 May 2014

SHEIKH WA MKOA AKITOA NASAHA SIKU YA KONGAMANO

SHEIKH SHABAN JUMA

MUDIYR WA AL-AZHAR JIJINI ARUSHA AKIELEZEA SAFARI YA MIIRAJI

SHEIKH RAJABU ABDULHAD FILYFAL

MKALIMANI WA MUDIYR WA AL-AZHAR

USTADH MIRAJ KHAMIS

Copyright @ 2014 UWASUWA.

Designed by Japhary | Japhary Juma