| BAADHI YA WAISLAAMU WAKITOKA KUSWALI SWALA YA IDI KTK MSIKITI WA SHAMSI-ARUSHA |
| MZEE SEHA NA RAFIKI ZAKE WAKIPATA KIFUNGUA KINYWA BAADA YA KUTOKA KWENYE SWALA YA IDI |
| BAADHI YA WAISLAAMU WAKITOKA KUSWALI SWALA YA IDI KTK MSIKITI WA SHAMSI-ARUSHA |
| MZEE SEHA NA RAFIKI ZAKE WAKIPATA KIFUNGUA KINYWA BAADA YA KUTOKA KWENYE SWALA YA IDI |
| USATDH MASOUD AKIWA NA BAADHI YA WAUMINI |
| HAWA NDIO MAJAJI WA MASHINDANO HAYA |
| MSHINDI WA PILI WA JUZUU SITA AKICHUKUA ZAWADI YAKE |
| SHEIKH KHALIFA AKIFUATIWA NA USTADH KHALID NA DK.AKIL |
| PICHA YA PAMOJA YA WANAFUNZI WA SHAMSIL MAARIF BAADA YA MASHINDANO YA QUR-AN |
| BAADHI YA WALIOHUDHURIA MASHINDANO HAYO |
| BAADHI YA WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN |
| SHEIKH HUSSEIN |
| ZAIDAN BINT RAMADHAN { MSHIRIKI WA JUZUU MOJA} |
| MSHIRIKI WA JUZUU MOJA |
| HUU NDIO UKUMBI ULIO TUMIKA KTK MASHINDANO HAYO |
| BAADHI YA WASHIRI WA MASHINDANO HAYO NI KUTOKA MTOWAMBU,RAUDHWA KISONGO,SHAMSIL MAARIF ARUSHA T.M.A NA WENYEJI WAO SALAMAT ISLAAMIYYA HAPA MONDULI |
| SHEIKH ABULRAZAQ AKITOA NASAHA SIKU YA QUDS Habari kamili badae |
| BAADHI WA WAISLAMU SIKU YA QUDS |
| SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA AKITILIA MKAZO MADA ZA WASEMAJI WALIO TANGULIA |
| IMARAN SAIDY MSHIRIKI WA JUZUU TATU |
| MWAJUMA ABDURAHMAN HUYU NI MSHIRIKI WA JUZUU TANO Na kundi hili lina washiriki nane |
| ANAE TUFUNGULIA KUNDI HILI NI JAZILA OMARY |
| ANAE TOKA KUSOMA HIVI SASA NI JAZILA OMARY |
| HUYU NI MSHIRIKI WA JUZUU SABA KWA JINA NI KULTHUMU ALLY |
| MASHINDANO HAYA NI ENDELEVU KILA MWAKA UNAOMBWA KAMA UNAUKEREKETWA WA DINI FIKA AMANA BANK KWA KUCHANGIA KUPITIA AKAUNTI HIYO HAPO JUU |
| BAADHI YA KINAMAMA WALIOKAA KWA UTULIVU WAKISIKILIZA MASHINDANO YANAYO ENDELEA HIVI SASA |
| HAWA NI WANAFUNZI WA MADRASA MBALIMBALI WAKIWA KTK MASHINDANO HAYO |
| MC USTDH HUSSEIN ALLY AKIMKABIDHI RATIBA YA MASHINDANO MTANGAZAJI WA ARUSHA ONE BW.MPINGA KINGU |
Copyright @ 2014 UWASUWA.