Saturday, 31 May 2014
KINAMAMA PIA HAWAKUBAKI NYUMA KATIKA KUELEZEA SAFARI YA ISRAA NA MIIRAJI
Posted By:
uwasuwa
on 22:27
Kinamama wa Madrasat Shamsil Maarif hapa Arusha leo 1/6/2014 kuanzia saa 8:00 mchana watajumuika na kinamama wenzao wa hapa Arusha katika kuadhimisha safari hiyo kama tutakavyo kuletea pindi maaadhimisho hayo yatakapo anza
MSKITI MKUU WA IJUMAA KWA MOROMBO LEO 31/5/2014 WAADHIMISHA SAFARI YA ISRAA NA MIIRAJI
Posted By:
uwasuwa
on 12:28
Madrasat shamsiyyatil maaroof inayo ongozwa na maustadh Abdul Shaban pamoja na ustadh Wazir Kilama leo hii asubuhi wakishirikiana na waislamu wa kwamorombo Jijini hapa walikuwa wanakumbuka tukio la kihistoria kwa kuelezea safari ya mtume wetu Muhammd (s.a.w) kutoka Masjidil haram.....kama tukavyo kuletea kiukamilifu hapo badae inshaallah
Wednesday, 28 May 2014
IDARA YA FEDHA WAFUATILIA KWA KARIBU BLOG YAO BAADA YA KUZINDULIWA
Posted By:
uwasuwa
on 00:52
USATADH ABDUL SHABAN NA USTADH MASOUD HUSSEIN PEMBENI YAO NI KATIBU WA UWASUWA AKIRATIBU BAADHI YA MAMBO WAKATI WA UZINDUZI HUO. |
Tuesday, 27 May 2014
MUDIYR WA AL-AZHAR JIJINI ARUSHA AKIELEZEA SAFARI YA MIIRAJI
Posted By:
uwasuwa
on 00:26
Monday, 26 May 2014
MWENYEKITI WA UWASUWA (SHEIKH OMARY SAIDY)
Posted By:
uwasuwa
on 23:47
Akimkaribisha mgeni rasmi ili aweze kusema chochote katika kongamano la israa na miiraj
HAKIKA HADHARA IMEPENDEZA NA NYUSO ZIMEFURAHI(لسان الحال افصاح من لسان المقال)
Posted By:
uwasuwa
on 16:06
Mudiyr wa madrasa ya Al-azhar Mkoa wa Arusha Sheikh Rajabu Abdulhaadiy Filiyfal wakwanza upande wa kulia akifuatiwa na katibu wa BAKWATA (M)Arusha na wamwisho upnde wa kushoto ni sheikh wetu wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaban Juma
BLOG YAZINDULIWA KWA MBWEMBWE
Posted By:
uwasuwa
on 15:14
Sasa tunaingia Darasani ,Shika kalamu na karatasi wote mmeshika ? ndiyooo andika kwa herufi ndogo, uwasuwa.blogspot.com,
wote mmeandika ? ndiyo sasa ingia kwenye mtandao ukitaka jambo lolote kuhusu uwasuwa utalikuta
KATIBU WA UWASUWA USTADH HUSSEIN HASSAN AKISOMA RISALA
Posted By:
uwasuwa
on 14:33
UMOJA WA WALIMU WA AHLIS-SUNNA WAL JAMAA-ARUSHA
(UWASUWA)
RISALA FUPI KWA MGENI RASMI
Awali ya yote tunamshukuru M.Mungu kwa kutupa uzima tukaweza kuungana pamoja katika hafla hii.
Pili ,tunakushukuru mgeni rasmi kwa kuitikia mwito wetu pamoja na kuwa una shughuli nyingi na ni kipindi cha mapumziko (weekend).
HISTORIA FUPI YA UMOJA WA WALIMU
Umoja huu ulianzishwa mwezi march 2011 kwa malengo ya kuwaunganisha wanataaluma wa Dini ya kiislaamu katika Mkoa wa Arusha na nje ya Mkoa ili watekeleze majukumu yao katika jamii.
MAFANIKIO
1-Kwa uwezo wa M.Mungu umoja huu umenunua Ardhi yenye ukubwa wa mita 100x50 kwa ajili ya shughuli za kitaaluma na huduma nyingine za kijamii.
2-Umoja umekamilisha rasimu ya katiba yake na hivi sasa tuko kwenye mchakato wa kuanza kusajili.
3-Umoja umeziunganisha Madrasa,Walimu,Masheikh,na Viongozi mbali mbali wa Dini katika mkoa.
4-Umoja leo hii utazindua blog yake ijulikanayo kwa jina la uwasuwa.blogspot.com ambayo itasheheni mambo mengi yahusuyo umoja na hasa akida ya ahlus sunna waljamaa.
5-Umoja unajitahidi kuijenga jamii ya kitanzania katika maadili mazuri kwa kutoa nasaha mbalimbali kila siku ya ijumaa usiku kuanzia saa 3:00-4:00 kwa kuituma Redio ya Arusha one fm(101.6 )
CHANGAMOTO
Ndugu mgeni rasmi palipo na mafanikio hapakosi changamoto , umoja huu unachangamoto zifuatazo:-
1-Ukosefu wa fedha kwa ajili ya survey pamoja na uwekaji wa lizi katika ardhi iliyo nunuliwa.
2-Ukosefu wa fedha kwa ajili ya michoro(ramani).
3-Ukosefu wa fedha kwa ajili ya usajili wa umoja, ambapo kadirio la chini ilikuyafanikisha hayo ni shilingi milioni tano.
4-Ukosefu wa wahisani kwa ajili ya shughuli ndogondogo za umoja kama usafiri n.k
Mwisho:
Tunakushukuru kwa kuungana nasi katika hafla hii natunakuombea M.Mungu akurudishe salama nyumbani kwako na tunakutakia majukumu mema ya ujenzi wa taifa Aamin.
SHEIKH KISUA ALLY AFAFANUA KWA UNDANI SAFARI YA ISRAA
Posted By:
uwasuwa
on 13:45
Sheikh ameanza kama tutakavyo kuletea kwa ukamilifu
BAADHI YA WANA UWASUWA KATIKA PICHA YA PAMOJA SIKU YA MAADHIMISHO YA ISRAA NA MIIRAJI
Posted By:
uwasuwa
on 12:27
WAKWANZA UPANDE WA KULIA NI USTADH SULYMAN RAMADHAN, | ||
ANAE FUATA NI USTADH |
Sunday, 25 May 2014
mgeni rasmi mheshimiwa kibamba kiburwa azindua blog ya uwasuwa
Posted By:
uwasuwa
on 23:45
jana ilikuwa ni siku ya kipekee pale mgeni rasmi alipo anza speech yake kama tutakavyo kuletea hivi punde
Saturday, 24 May 2014
Kongamano la Israa na Miiraj - Arusha Tarehe 25/05/2014
Posted By:
uwasuwa
on 09:40
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
UWASUWA imeandaa kongamano Adhwimu la Israa na Miiraji litakalofanyika kesho Tarehe 25/05/2014 Jumapili Ukumbi wa CCM Mkoa Arusha kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 mchana Inshaallah
Wote Mnakaribishwa !
Israa na Miiraji
Posted By:
uwasuwa
on 09:33
UWASUWA (Umoja wa Waalimu wa Ahlis-Sunna Waljamaa) inawatakia mema katika kukumbuka tukio hili Adhwimu la Israa na Miiraji kwa Mtume wetu Muhammad(S.A.W)
UWASUWA imeandaa kongamano la ISRAA na MIIRAJ litakalofanyika kesho Inshaallah Jumapili Tarehe 25/05/2014 Ukumbi wa CCM Mkoa Arusha kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 na nusu Mchana. Wote Mnakaribishwa!
BAADHI YA VIGOGO WA JIJI LA ARUSHA
Posted By:
uwasuwa
on 06:25
ZAFA Katika Maulid ya Mtume(S.A.W) - Madrasat Shamsil Maarif Arusha
Posted By:
uwasuwa
on 02:48
Hii ni zafa ya Maulid ya Mtume(S.A.W) iliyoanzia Mtaa wa Majengo ya juu na kuishia Madrasat Shamsil Maarif iliyopo Mtaa wa Shamsi Arusha.
Sheikh Simba Khalfan na Sheikh Shaaban |
Subscribe to:
Posts (Atom)