Katika viwanja vya madrasa hii leo ausbuhi walikuwa wakiadhimisha mwaka wa 14 tangu
kuanzishwa kwake rasmimwaka 2000 .Madrsa hii ilianza na wanafunzi
watano(5) wakati huo wakisomea katika nyumba ya Baisaid mke wa marehemu saidi
migire ,pia tunatoa shukurani nyingi kwa mama huyo kwahivi sasa ametujengea madrasa kitu ambacho
inatakiwa iwe ni mfano wa kuigwa kwa waislamu wengine, madras hii maendeleo yak
e ni mazuri kwani hivi sasa ina wanafunzi mia mbili(200) na kama ilivyo kawaida
yake kabla ya kufunga madarasa hufanywa maadhimisho ya kielimu ambapo wanafunzi
huwa wakaonyesha vipaji vyao mbalimbali kwa kufanya maonyesho ya kielimu na yote hayo
ni kwa juhudi za maustadh wake ambao ni UstadhMohamed
Ally na Ustadh Dhulkifli Shaban Madrasa
hii inasomesha masomo mbalimbali kamavile Qur-an,Hadith za mtume Sira n.k. Maonyesho
hayo yalianza asubuhi na kumalizika jioni na mwisho wa maadhimisho ustadh
alitoa shukrani nyingi kwa wote walio fanikisha madhimisho hayo
0 comments:
Post a Comment