مسجد حبيب صالح
SEHEMU YA KIBLA YA MASJIDI HABIYBU SWALEHE MTAA WA BONDENI TERATI
MASHEIKH PAMOJA NA WAGENI MBALIMBALI WAKIWA MEZA KUU KATIKA HAFALA HIYO
WAGENI WAALIKWA KUTOA NCHI JIRANI YA KENYA PAMOJA NA MASHEIKH MBALIMBALI WA JIJI LA ARUSHA WAKIONGOZA MSAFARA KUELEKA MSIKITINI KWA AJILI YA UFUNGUZI WA MASJID HABIYBU SWALEH MTAA WA BONDENI KATA YA TERATI KAMA BAADHI YA PICHA ZINAVYO ONYESHA BAADHI YA MATUKIO
SAYYID SHARIFU HUSSSEIN BADAWIY AKITOA UTEPE KWENYE MLANGO WA MSIKITI HUO IKIWA NI ISHARA YA UFUNGUZI RASMI WA MSIKITI HUO.
SHEIKH WA MKOA SHEIKH SHABAN JUMA AKIWA NA WAGENI WAKE KATIKA PICHA YA PAMOJA NDANI YA MSIKITI
BAAADHI YA WAUMINI WAKITABARUKU KWA KUSWALI NA WENGINE WAKISHANGAA NAMNA MSIKITI ULIVYO KUWA MKUBWA NA MZURI
ENEO LA NJE YA MSIKTI AMBALO BAADAE KTAKUWA NA PROGRAM YA UJENZI WA SHULE YA AWWALI
KATIBU WA BAKWATA MKOA NDUGU ABDALLAH MASOUD AKIWA KATIKA KITI CHA KWANZA UPANDE WA KUSHTO
Baadhi wa wanamadrasa wakitumbuiza kwa Qasida katika hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment