UMOJA WA WALIMU WATUA MKOANI MANYARA , ZIYARA KWA LENGO LA KUENDELEA KUFIKISHA UJUMBE WA MWENYEZI MUNGU PIA KUBADILISHANA MAWAZO NA WAUMINI WA MAENEO HUSIKA HUSUSAN VIONGOZI WA DINI KWAHAKIKA KATIKA ZIYARA HIZO AMBAZO ZIMEDUMU KWA MUDA MREFU HUWA WAKAKUTANA NA CHANGAMOTO NYINGI SANA NA BAADHI YA CHANGAMOTO KUWEZA KUZIPATIA UFUMBUZI HAPO MANYARA WALIWEZA KUTEMBELEA MISIKITI YA MAGUGU,SINAI,BABATI MJINI NA ANGONI.
MADA MBALIMBALI ZILIWASILISHWA AMBAPO USTADHI ATHUMAN HUSSEIN KUTOKA MADRASA YA NURI NGARENARO YEYE ALIWASILISHA MADA KATIKA MSIKITI WA BONDENI HAPO MAGUGU ,MSIKITI WA SINAI MADA ILIWASILISHWA NA USTADH MASOUD HUSSEIN KUTOKA SHAMSIL MAARIF,BLOCO S MADA ILIWASILISHWA NA USTADH JUMANNE ALLY KUTOKA RAHMAAN NJIRO,MASJIDI RAHMA MADA ILIWASILISHWA NA USTADHI ISSA WA MASJIDI AQSWA MAJENGO YA CHINI,MASJID TAQWA MADA ILIWASILISHWA NA USTADHI MIRAJ KHAMIS WA MADRASAT TAQWA MAJENGO YA JUU NA USTADHI HABIBU WA MAENEO YA DAMPO MJINI ARUSHA YEYE ALIWASILISHA MADA YAKE KATIKA MSIKITI WA ANGONI C
MSIKITI WENEYE HISTORIA KWA SHEIKH WA SASA WA MKOA WA MANYARA AMABAPO MWENYEJI WETU IMAMU WA MSIKITI HUU SHEIKH ABUBAKAR ALIWEZA KUTUSIMULIA KUWA MSIKITI HUO NI WA SIKU NYINGI NA ASILI YAKE ULIKUWA NI UMEZEKWA NYASI NA ULIKUWA WA WA TOPE AMBAPO IMAMU WAKE WA KWANZA NA MWALIMU WA MADARSA ALIKUWA NI SHEIKH WETU WA MKOA SHEIKH MUHAMMAD KHAMIS KADIDI TUNA MSHUKURU SANA MUNGU MSIKITI WETU UNAZIDI KUPIGA HATUA ZA KIMAENDELEO KADRI SIKU ZINAVYO ZIDI KUSOGEA
HUU NI MSIKITI KATIKA MAENEO YA SINAI AMBAPO UWASUWA WALIWEZA KUJIFUNZA MENGI KATIKA MSIKITI HUO KUTOKA KWA USITADHI WA MADRASA YA KHAYRIYA USTADH ISSA PAMOJA NA KATIBU WA MSIKITI HUO ALLAH ALIPE KILA LAKHERI
USTADHI ISSA AKIWA OFISINI KWAKE AKIRATIBU BAADHI YA MAMBO
MADRSAT KHAYRIYA MUONEKANO WAKE KWA NDANI |
BAADA YA ZIYARA HIYO USAFIRI WANAO UTUMIA UWASUWA ULIPITA KILA KITUO NA KUWAKUSANYA WANAUWASUWA KWAAJILI YA KURUDI MJINI ARUSHA KWA AJILI YA KUENDELEA NA MAJUKUMU YAO YA KILA SIKU
0 comments:
Post a Comment