Kongamano la Miiraji Tarehe 25/05/2014 saa 2:00 asubuhi Ukumbi wa CCM Mkoa - Arusha. More... Click Here!


Friday, 7 October 2016

MASJIDU DARUL MUSTWAFA MTAA WA BONDENI KATA YA TERATI

Moja katika ziyara ambazo wanaendelea nazo UWASUWA ni pamoja na kutembelea msikiti ambao kiwanja husika kilitolewa WAQFU na familia ya .................tunamumba M.Mungu awalipe kila la kheri kutona na nia yao hiyo na pia M.Mungu atuongoze sisi katika kufanikisha malengo ya watoa WAQFU.
مسجد دار المصطفى

HUU NDIO MSIKITI WA DARUL MUSTWAFA KAMA UNAVYOONEKANA KWA MBALI


 BAADHI YA WANAUWASUWA WAKIWA NA WENYEJI WAO NJE YA MSIKITI
HII NI SEHEMU YA NDANI YA MSIKITI

MWENYEKITI WA UWASUWA AKIWA KATIKATI YA WALIMU

MWALIMU ISSA MUHAMMAD AKIHABARISHWA JAMBO NA MWENYEKITI  KUTONA NA MAPOKEZI MAZURI NAMNA WALIVYO POKELEWA NA WENYEJI WAO
HAWA NI BAADHI YA WAUMINI KIJIJINI HAPO

KIKAO MAALUMU AMBACHO AGENDA KUU ILIKUWA NI NAMNA YA KUJENGA MSIKITI HUU AMBAO UMEJENGWA KWA MUDA

BAADHI YA WANAUWASUWA WAKIPOKEA TAARIFA ZA KUFURAHISHA  KATIKA KIKAO BAADA YA KAMATI TEULE KURUDI KATIKA ZIYARA HIYO AMBAYO ILIKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA

WANAUWASUWA WAKIWAZA NAMNA WATAKAVYO FANYA  ILI KUWEZA KUPEANA MAJUKUMU YA KUJENGA MSIKITI HUO
 

Monday, 4 July 2016

MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN YALIYO ANDALIWA NA MADRASAT SHAMSIL MAARIF-MKOA WA ARUSHA

KAMA ILIVYO KUWA KAWAIDA YA MADRASAT SHAMSIL MAARIF KILA MWAKA KUANDAA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN MWAKA HUU WALIYAFANYA TAREHE 3/7/2016 SAWA NA RAMADHAN 27/1437









Wednesday, 23 March 2016

MICHAKATO INAYO ENDELEA ILI KUPATA USAJILI WA KISHERIA

BAADHI YA VIKAO AMBAVYO UWASUWA WAMEWAHI KUKAA NI PAMOJA NA KIKAO CHA KUPITIA RASIMU YA KATIBA YA UMOJA HUO KUPITIA MWANASHERIA WA WAKATI HUO NDUGU KHALID LUNG`WECHA KAMA BAADHI YA PICHA ZINAVYO ONYESHA.
NDUGU KHALID LUNG`WECHA NI MWANASHERIA WA KUJITEGEMEA MWENYE KAMPUNI YA MAWAKILI YENYE KUJILIKANA KWA JINA LA  LETAN & CO. ADVOCATES YA MJINI ARUSHA

BAADA YA KIKAO KUFNGULIWA NA MWENYEKITI WA KIKAO HICHO USTADH MASOUD HUSSEIN  MOJA KWA MOJA ALIMKARIBISHA MWANASHERIA ILI AENDELEE NA UCHAMBUZI WA RASIMU YA KATIBA YA UWASUWA 
 Mwanasheria aliomba ufafanuzi kwa kusema '' NAOMBA UFAFANUZI KATI YA AHLS SUNNA WALJAMAA NA ANSWAR SUNNA " Nae mwenyekiti pasi na kusita alimwambia Ahls sunna waljamaa wao ni wafuasi wa maimamu wanne yaani:-
 ( 1 ) IMAMU ABUHANIYFAH NU`UMAN IBNI THAABIT ambaye alizaliwa mwaka wa 80 hiriyyah na kufa  mwaka wa 150 hijiriyyah' 
 (2) IMAMU MALIK IBNI ANASI IBNI ABIY A`AMIR AL-ASBAAHIY  ambaye alizaliwa mwaka wa 93 hijirriyah na kufa mwaka wa 179 hijiriyyah ,
( 3 ) IMAMU MUHAMMAD BIN IDRIYSA ASHAFI`IY ambaye yeye alizaliwa mwaka wa 150 hijiriyyah  na kufa mwaka wa 204 hijiriyyah
( 4 )IMAMU AHMED IBNI HANBAL HILAL IBNI ASAD ASHAYBANIY ambaye yeye alizaliwa mwaka wa 164 hijiriyyah na kufa mwaka wa 241 hijiriyyah.
        Ama answar sunna wao ni wafuasi wazuri wa sheikh muhammad bin abbdilwaha ambaye kudhihiri kwake ni miaka ya 1143 hijiriyyah kama alivyo lielezea hilo mwenye kitabu afajiri swaadiq ukurasa wa 11.amakuhusu hitoria yake iko siku tutakuja kuielezea kwa ufasaha zaidi.



BAADHI YA WANA UWASUWA WAKIWA KWENYE KIKAO WAKIPEWA UFAFANUZI WA KISHERIA JUU YA RASIMU YA KATIBA YA UMOJA KAMA TUTAKAVYO KUANISHIA MAJINA YAO HIVI PUNDE

KATIBU WA KIKAO HICHO USTADH ABDUL SHABAN ANTA AKICHUKUA DONDOO KAMA ANAVYO ONEKAKANA AKICHUKUA BAADHI YA DATA

AMA WALIO SIMAMA WAKWANZA MWENYE SHATI JEKUNDU NI USTAD ABDUL SHABAN KUTOKA MASJID MAAROOF  KWA MOROMBO, AKIFUATIWA NA USTADH HASSAN SALIMU KUTOKA MASJID RAMADHAN KWA MOROMBO,AKIFUATIWA NA USTADH TWAHA MUHAMMAD KUTOKA MASJID TAWBA NJIRO, AKIFUTIWA NA KHALID LUNG`WECHA ( MWANASHERIA ) AKIFUATIWA NA USTADH SULEYMAN RAMADHAN KUTOKA MSIKITI WA MAUA ( SOKONI ONE )AKIFUATIWA NA USTDHA ALLY SAID MGELWA KUTOKA OLASITI 
                AMA WALIO KAA WAKWANZA MWENYE KANZU NYEUPE NI USTADH OMAR MBWANA MAYA KUTOKA BULLET MADUKAN, ANAYE FUATA NI USTADH MSOUD HUSSEIN KUTOKA MSIKITI WA SHAMSI ,ANAYE FUATA NI USTADH ATHUMAN HUSSEIN KUTOKA MSIKITI MKUU WA NGARENARO,ANAYE FUATA NI USTADH ABUSHEIKH RAMADHAN KUTOKA MASJIDI MINAA JR ,ANAYE FUATA NI USTADH MIRAJI KHAMIS KUTOKA MASJID TAQWA MAJENGO, ANAYE FUATA NI USTADH ABUBAKAR MUHAMMAD ( MAULANA )KUTOKA MASJID THAWABI ULUSUNYAI NA MWENYE KANZU YA KIJIVU USTADH JABIR MUHAMMAD KUTOKA SHAMSI

AMA BAADHI YA WANA UWASUWA SURA ZAO HAZIONEKANI HAPO KUTOKANA NA JAMBO  LA DHARURA LILILO JITOKEZA SIKU HIYO WAO WALITUWAKILISHA KULE NASI TULIWAWAKILISHA HAPA.

Monday, 15 June 2015

SHEREHE ZA MAAHAD SHAMSIL MAARIF MKOANI TANGA 2015 ZA KAMILIKA JANA 14/6/2014

madarasati shamsil maarif kwa sheikh muhammad bin abibakar alburhan mtaa wa duga mjini tanaga jana ilikuwa ndio kilele cha maadhimisho ya kiilimu ambayo huwa yanafanyika kila mwaka tarehe zinazo karibiana na hizi ama mwaka huu maadhimisho hayo yaliaza tarehe 11 /6 /2015 na kuishia tarehe 13/6/2014 kama ambavyo tutakuleyea habari hizi hapo badae


















Tuesday, 9 June 2015

UFUNGUZI WA MASJIDI HABIYB SWAALEH MKOANI ARUSHA KATA YA TERATI MTAA WA BONDENI LEO TAREHE 9/6/2015

مسجد حبيب صالح

 SEHEMU YA KIBLA YA MASJIDI HABIYBU SWALEHE MTAA WA BONDENI TERATI

MASHEIKH PAMOJA NA WAGENI MBALIMBALI WAKIWA MEZA KUU KATIKA HAFALA HIYO 

WAGENI WAALIKWA KUTOA NCHI JIRANI YA KENYA PAMOJA NA MASHEIKH MBALIMBALI WA JIJI LA ARUSHA WAKIONGOZA MSAFARA KUELEKA MSIKITINI KWA AJILI YA UFUNGUZI WA MASJID HABIYBU SWALEH MTAA WA BONDENI KATA YA TERATI KAMA BAADHI YA PICHA ZINAVYO ONYESHA BAADHI YA MATUKIO

SAYYID SHARIFU HUSSSEIN BADAWIY AKITOA UTEPE KWENYE MLANGO WA MSIKITI HUO IKIWA NI ISHARA YA UFUNGUZI RASMI WA MSIKITI HUO.

SHEIKH WA MKOA SHEIKH SHABAN JUMA AKIWA NA WAGENI WAKE KATIKA PICHA YA PAMOJA NDANI YA MSIKITI

   BAAADHI YA WAUMINI WAKITABARUKU KWA KUSWALI NA WENGINE                      WAKISHANGAA NAMNA MSIKITI ULIVYO KUWA MKUBWA NA MZURI

  ENEO LA NJE YA MSIKTI AMBALO BAADAE KTAKUWA NA PROGRAM YA UJENZI WA SHULE YA AWWALI

   KATIBU WA BAKWATA MKOA NDUGU ABDALLAH MASOUD AKIWA KATIKA KITI CHA KWANZA UPANDE WA KUSHTO

Baadhi wa wanamadrasa wakitumbuiza kwa Qasida katika hafla hiyo

Sunday, 31 May 2015

MAULIDI MAKUBWA NA UFUNGUZI WA MSIKITI WA ANSWARI SUNNA WILAYANI MBULU JANA TAREHE 29 NA 30/5/2015

Familia ya Merehemu Kassu kama ilivyo kawaida yao kumuadhimisha Mtume Muhammad (s.a.w ) hapa Mbulu mwaka huu pia hawakubakia nyuma katika maadhimisho hayo ambayo mwenyeji wao Dk Izack Kassu huwa akiyasimamia kwa umadhubuti wa hali ya juu kuhakikisha yanafanikiwa kama baadhi ya picha zinavyo onyesha baadhi ya matukio
MZEE BOHARI AKIWA AMESIMA AKIFUATIWA NA BW.MUSSA KASSU KUTOKA TANGA NA ANAE FUATA NI MZEE OMARY KASSU KUTOKA IRINGA NA ANAEFUATA NI MZEE ALLY KASSU KUTOKA ARUSHA AKIFUTIWA NA SHEMEJI YAO MZEE SULEYMAN


Huu ni msafara wa Zafa ukiwa unazunguka Mjini hapa ukiongoza na Madrsa ya marehemu Sheikh Masoud kutoka Babati, na yote hayo ni katika shamrashamra za kuonyesha furaha na mapenzi makubwa juu ya kienzi chao Mtume Muhammad s.a.w

HII NI PICHA YA BANGO LILILOKO KWENYE LANGO LA KUINGILIA  MSKITINI HAPO














Copyright @ 2014 UWASUWA.

Designed by Japhary | Japhary Juma