MSIKITI HUU IMAMU WAKE AJULIKANA KWA JINA LA SHEIHK HUSSEIN CHIFUPA |
MSIKITI WA IJUMAA LONGUO ,MSKITI HUU UNAPATIKANA KATIKA MKOA WA KILIMANJARO JIRANI NA HOSPITALI YA KCMC
MSEMA CHOCHOTE ( MC )ALHAJ USTDH AMIR AKINONEZWA NENO BAADA YA KUSOMA RATIBA YA HADHRA HII .
MZEE SAIDI KHATIBU AKITIA FATIHA KWA AJILI YA KUANZA HADHARA HII KAMA ANAVYOONEKANA AKIWA AMESHIKA MAIKI. NA BAADA YA FATIHA HIYO MOJA KWA MOJA TULITAWASALI KWA MAJINA YA M.MUNGU
USTADH IBRAHIMU KUTOKA MBOKOM NDIO ALITUSOMEA WASILATU SHAFIY KAMA ANAVYOONEKANA AKIWA AMESHIKA KITABU.
NAYE USTADH ISSA GODA ALITAWALIA KAZI YA KUREMU NDUGU ZETU WALIO TANGULIA MBELE YA HAKI.
QARIU WETU KATIKA MALIDI HAYA ALIKUWA NI USTADH ADAMU, KAMA TULIVYO ZOEYA KATIKA HADHARA MBALIMBALI ZA MAULIDI KUTANGULIWA NA MANENO YA M.MUNGU( QUR-AN ).
KAZI YA UTAMBULISHO WA WAGENI ILIFANYWA NA USTADH ABDILAHI |
MADRASAT RAAZIQYA LONGUO WAKI IMBA QASWIDA
MABANATI WA MADRASA RAAZIQIY WAKICHEZA KWA MBWEMBWE NA YOTE HAYA NIKATIKA KUMFURAHIYA NA KUMPENDA MTUME ( S.A.W ) KAMA ALIVYOSEMA MTUME WAFUNDISHENI WATOTO WENU MAMBO MATATU :-"KUMPENDA MTUME,KUWAPENDA AHLIBAYT WA MTUME NA KUSOMA QUR-AN "
HAFLA YA MAULIDI ILIZIDI KUCHANGAMKA PALE MADRASA YA QAADIRIYYA WALIPO WALIPO PIGA QASWIDA YA YAO KAMA UNAVYO WAONA VIJANA WA MADRSA HIYO WAKIWA WAMESIMAMA WAKICHEZA
KINA MAMA WAKIWA JUU YA VITI KUTOKANA NA ENEO LETU KUWA NI DOGO
SHIA PIA HAWAKUBAKI NYUMA KATIKA MAULIDI HAYA KAMA UNAVYO WAONA WAKIIMBA QASWIDA YAO
SHARIFU ( DIWANI ) YEYE ALISIMAMIA ZOEZI LA HARAMBEE KWA AJILI YA UJENZI WA MADRASA
MGENI RASMI SHEIKH ALHAJ YUSUFU LASENGA AKIWA TOA NASAA ZAKE JUU YA KUZIDI KUMPENDA MTUME
HAWA NI BAADHI YA WAALIKWA KWENYE MAULIDI HAYO
0 comments:
Post a Comment