HUU NI UPANDE WA KUSHOTO WA MSIKITI MKUU WA IJUMAA WILAYANI KARATU |
MSIKITI HUU UKO KATIKATI YA MJI WA KARATU NA UMEPAKANA NA SOKO UPANDE WAKE WA KUSHOTO
Utadh masoud Hussein mwenye kanzu ya kijivu kutoka UWASUWA Arusha ndiye aliye wasilisha mada katika msikiti huo ambapo aliwahamasisha waislamu kutafu Elimu na kueleza changamoto nyingi ambazo waislamu wanalazimika kukabliana nazo katika zama tulizo nazo kama vile watoto wetu kukosa muda wa kutosha juu ya kujifundisha dini yao,vipindi vya dini mashuleni kukosa walimu wakutosha ,kinamama kutosoma dini pia kinababa kuto hudhuri darasa mbalimbali baada ya swala ya maghrib hali yakuwa muislamu kutafuta elimu ni jambo la lazima kwani Mtume Muhammad (S.A.W) anasema "KUTAFUTA ELIMU NI FARADHI MNOO JUU YA KILA MISLAMU WA KIUME NA WAKIKE"
IMAMU MKUU WA MSIKITI WA IJUMAA KARATU SHEIKH ABUBAKAR ALIYE VAA KILEMBA AKIWA NABAADHI YA WAUMINI WA MSIKITI HUO |
MSIKITI WA IJUMAA KARATU |
MSIKITI WA ROTYA |
NA HATIMAE ZIRA YAO ILIISHIA KATIKA MSIKITI WA MAKUYUNI KWA USTADH ALLY AMBAPO HAPO KULIKUWA NA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) |
HIKI NDICHO KINARA KAMA TUNAVYO MUONA MC AKIREKEBISHA MITAMBO |
NA HUU NDIO MSIKITI MKUU WA MAKUYUNI KAMA UNAVYO ONEKANA KATIKA PICHA |
BAADHI YA WAKAZI WA MAKUYUNI WAKIRUDI KUTOKA KWENYE ZAFA |
0 comments:
Post a Comment