| MAMIA YA WAUMINI NA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA KUMSINDIKIZA KATIBU WA UWASUWA USTDHI HUSSEIN HASSAN MYUYI KATIKA NYUMBA YAKE YA MWISHO KATIKA MGONGO WA ARDHI ........... HABARI KAMILI BADAE KIDOGO |
Monday, 26 February 2018
MAZISHI YA KATIBU WA UMOJA WA WALIMU WA MADRASA MKOANI ARUSHA LEO JUMATATU 26/2/2018 SAWA NA TAREHE 10/JUMADA THAANI/1439 HIJIRIYYAH
Posted By:
uwasuwa
on 11:59
Saturday, 10 February 2018
ZIYARA YA UMOJA WA WALIMU WILAYANI KARATU 10/2/2018
Posted By:
uwasuwa
on 09:38
![]() |
| BAADHI YA WAUMINI WA MSIKITI WA KIBAONI |
![]() |
| USTADHI ABDUL SHABAN ANTA AKIWASILISHA MADA YAKE ILIYOKUWA INAELEZEA KUHUSIANA KURIDHI QADARI NA HUKUMU YA ALLAH ( S.W ) |
![]() |
| BAADA YA SWALA SHEIKH RAJABU ALLY AKIAGANA NA USTADHI ABDUL |
![]() |
| SHEIKH RAJABU AKIAGANA NA USTADH MASOUD |
![]() |
| SEHEMU YA NYUMA YA MSIKITI NA KATIKA ZIYARA HIYO BAADHI YA WALIMU WALIFIKA KARATU MJINI KWA SHEIKH ABUBAKAR,KILMATEMBO KWA SHEIKH SHARIFU |
Saturday, 24 June 2017
HIVI NDIYO YALIVYO KUWA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN 29/RAMADHA/1438 SAWA NA 24/6/2017
Posted By:
uwasuwa
on 10:36
![]() | ||
| Katika Mashindano hayo yaliyo shirikisha Madrasa nane ( 8 ) za Jijini Arusha mbazo ni Hidaya kutoka Olmatejo,Darul Qur-an kutoka Sombetini, Nuri kutoka Ngarenaro ,Manazilul Abraar kutoka kwa morombo, Arusha Islamic Center kutoka Majengo ,Abdurahmaan Bin Auf kutoka Olmatejo , Swafa kutoka Kaloleleni na wenywji wao Shamsili Maarif kutoka Shamsi. |
| KIJANA ABDULHAKIMU MUHAMMAD ALIYE VAA KOFIA NYEUPE NDIYE ALIYE SHIKA NAFASI YA KWANZA KWENYE KUNDI HILI LA JUZUU MOJA NAKUZADIWA SH 50,000/= ,ANAYE FUATA KATIKATI MTOTO AMANI AYOUB SHIJA ALIIBUKA KUWA MSHINDI WA PILI NA ALIZADIWA SH 30,000/=NA KIJANA ABDULRAHIMU JUMA (ALOLOO) ALIBUKA KUWA MSHINDI WA TATU NA ALIZAWADIWA SH 20,000/= |
| Baadhi ya walio hudhuria katika mshindano hayo kama tunavyo waona na miongoni mwao ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano ya qur-an hapo anaonekana mwanafunzi Amani Ayoub shija ( mshindi wa pili wa juzuu moja) akiwa ameinamisha kichwa chini akifiria hivi anaweza kufanya vizuri pia ukimtazama mwanafunzi Abdurahimu Juma Aloloo ( mshindi wa tatu wa juzuu moja ) akiwa ameshika mashavu huku akitafakari mchuano namana ulivyo kuwa mkali |
| Mzee Ally Kassu baada ya kustaafu mashindano ya kuendesha magari ameibukia kwenye mashindano ya kuhifdhi Qur-an na hapo akichukuwa zawadi baada ya kufanya vizuri katika mashindano hayo |
| Majaji wa masindanano hayo wakijumuisha max baada ya makundi yote manne kusoma aliyeshika kalamu ni Ustadhi Hussein Hassan Myuyi ambae ni katibu wa Umoja wa Walimu Mkoa Arusha anaefuata ni Ustdhi Gingi anajumuisha max ambaye ni mmoja miongoni mwa walimu wa kituo maarufu cha kuhifadhisha Quran Jijini hapa kituo cha abdurahmaan bini auf cha hapo olmatejo na anayefuata ni sheikh Hadiyyu Hussein Lukarange ambe yeye ni Naibu Mudiyr wa Markazi ya Azhar Sharif ya Jijini Arusha |
kijana mwenye kanzu na kofia nyeupe (Thabiti Salimini) kutoka Shamsil Maarif aliibuka kuwa mshindi wa kwanza wa juzuu tatu na alizawadiwa sh 80,000/= na anae fuata mwenye kilemba chekundu kijana Saadat Abdullahi kitoka Taasisi ya Hidaya Olmatejo alikuwa mshindi wa pili wa juzuu tatu na alizawadiwa sh 50,000/= na Bw.Mahmudu Sufiyan muendesha bodaboda maarufu wa kijiwe cha Shamsi aliweza kuipokonya nafasi ya tatu na alizawadiwa sh 30,000/= katika mashindano ambayo yalikuwa na mchuano mkali katika kundi hilo lililo shirikisha washiriki ishirini na moja (21)
Naye naibu Mwenyekiti wa Umoja wa walimu Mkoani Arusha Sheikh Juma Haji Mtandaya wapili kutoka upande wa kulia alitoa msisitizo wa kuwa na mchujo kabla ya kufanya mashindano ya Qur-an kwani wako baadhi ya wanafunzi wanaingia kwenye mashindano ili hali ni wabovu hawana vigezo naakatolea mfano wenzetu Dar-es-salaam wao wanafanya mchujo mpaka mara tano hivyo basi anawaomba wanaoandaa mashindano haya ( shamsil maarif ) mwakani watakapo andaa tena mashindano wawafanyie mchujo kabla ya kuingia katika mashindano .
Khalifa Abubakar Saidi aliye shika kichwa akimuwakilisha Sheikh Salimu Mubarack (Sayyid Sujjada ) ndiye alikuwa mgawaji zawadi kwa niaba ya sheikh kwa washindi na washiriki wa mashindano hayo
|
Sunday, 11 December 2016
SHEREHE ZA MAULIDI MKOANI ARUSHA KIMKOA ZAFANYIKA ARUSHA MJINI
Posted By:
uwasuwa
on 12:29
| WANAFUNZI WA MADRSA KAMAA ILIVYO KAWAIDA YAO KUTOKANA NA NAMNA WALIVYO FUNDISHWA KUMPENDA MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) WAO HAKUJALI KUPIGWA NA JUA WAO KILCHO WALETA NI MUSIFU MTUME PAMOJA NA KUMUADHIMISHA |
| BAADHI YA WALIMU WA UWASUWA WAKISHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE KUHAKIKISHA KUWA WANAFUNZI WOTE WANAO HUDHURIA WANAMFURAHIYA MTUME KATIAK HALI SAWA |
| KATIBU WA UWASUWA AKIWA MSTARI WA MBELE KATIKA ZOEZI LA KUDHIBITI JUA KUTOKANA NA UMATI WA WAISLAMU WA JIJI LA ARUSHA AMBAO KILA BAADA YA DAKIKA CHACHE WALIKUWA WANAONGEZEKA |
| USTADH ABDILAHI IMAMU WA MSIKITI WA BONDENI AKISOMA DUA YA WASILATU SHAFIY |
| MGENI RASMI SHEIKH ALLY CHIZENGA AKIWASILISHA MADA YAKE |
| SHEIKH ISTAMBULI ABDILAHI NAASR AKIWAKILISHA MASHIA WA NCHI YA JIRANI YA KENYA KATIKA MAULIDI HAYO AMBAYO YALIALIKA WATU WOTE |
| UMOJA WA WALIMU PAMOJA NA KUSIMAMIA BAADHI YA MAMBO WAO KAZI KUBWA WALIYO PEWA NA BARAZA LA BAKWATA ILIKUWA NI KUSIMIA UTARATIBU MZIMA WA KUHAKIKISHA KILA ALIYE HUDHURIA ALITABARUKU HIVYO BASI WALILAZIMIKA BAADHI YAO KUFIKA KWA WAPISHI ILI KUANZA KAZI YAO RASMI NA ALHAMDULILAHI WALISIMAMIA VIZURI |
| WANAFUNZI WA MADRASA WAKISUBIRI KUHAMISHIWA JUKWAA LA JUU BAADA YA JUA KUWA KALI |
| NAE SHEIKH ABDURAZAK WA MKOANI HAPA AKIWAKILISHA MASHIA WA ARUSHA KATIKA MAULIDI YA MKOA |
| BAADHI YA MASHEIKH WA JIJI LA ARUSHA WAKIWA SAFU YA MBELE KAMA TUNAVYO WAONA UPANDE WA KULIA ALIYESIMAMISHA BAKORA YAKE CHINI NI SHEIKH SIMBA KHALFAN AKIFUATIWA NA SHEIKH KISUA ALLY AKIFUATIWA NA MGENI RASMI SHEIKH ALLY CHIZENGA KUTOKA DAR-ES-SALAAM AKIFUATIWA NA SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA SHEIKH SHABAN JUMA AKIFUATIWA NA SHEIKH WA WILAYA SHEIKH ABDIRAHMAN SALIM |
| MWENYEKITI WA UWASUWA USTADHI OMARI SAIDI JOUR AKITAFSIRI BAADHI YA AYA ZA QUR-AN TUKUFU ILIYOSOMWA NA KIJANA OMAR IDDI ABEID |
| MC.SHEIKH HADIYU HUSSEIN LUKARANGE AKIPITIA RATIBA YAKE ILI KUHAKIKISHA MAMBO YANAKWENDA VIZURI |
Saturday, 19 November 2016
KONGAMANO KUBWA LA KIDINI LAFANYIKA MKOA WA ARUSHA LEO 19/11/2016
Posted By:
uwasuwa
on 00:18
![]() |
| BAADHI YA KINAMAMA WA KIISLAMU WAKIWA KWENYE KONGAMANO |
KONGAMANO HILI LILIFUNGULIWA KWA QUR-AN TUKUFU ILIYOSOMWA NA SHEIKH MUHAMMAD MAHAMUUDU ABDULFATAAH,
![]() |
| MUDIYRU WA AL-AZHARI SHARIF MKOA WA ARUSHA SHEIKH RAJABU ABDUL HAAD FILFAL AKITOA UFAFANUZI KUHUSU KONGAMANO HILO LILILO KUWA LINA MADA KUU NNE AMBAZO ZILIKUWA ZIKILENGA SUALA ZIMA LA AMANI NA UTULIVU KATIKA JAMII |
![]() |
| SHEIKH MKUU WA MKOA WA MANYARA SHEIKH MUHAMMAD KADIDI AKIWASILISHA MADA INAYO HUSU KUTOKUMWAGA DAMU ZISIZO NA HATIA NA ADHABU ATAKAYO PATA MWENYE KUZIPUUZA DAMU HIZO AKINUKUU AYA KATIKA QUR-AN SURA 5 AYA 32 (MAIDAH) |
![]() |
| NAE MGENI RASMI MHESHIMIWA IDDI HASSAN IDDI KIMANTA MKUU WA WILAYA YA MONDULI AKIMUWAKILISHA MKUU WA MKOAA WA ARUSHA ALIANZA KWA KUPONGEZA SANA KONGAMANO HILO NA KUSISITIZA KUENDELEZA SEMINA NA MAKONGAMANO KAMA HAYO YAFANYIKE MARA KWA MARA KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA NCHI YETU |
![]() |
| PIA SHEIKH WA WILAYA YA MONDULI SHEIKH MWINSHEE SALIMU NAE HAKUBAKI NYUMA KATIKA KUSISITIZA AMANI YA NCHI, NA KUKEMEA VIKALI KITENDO CHA BAADHI YA WATU KUJICHUKULIA MADARAKA NA MAJUKUMU YASIYO WAHUSU KWANI KUFANYA HIVYO NDIO CHANZO CHA VURUGU NA UVUNJIFU WA AMANI SEHEMU HUSIKA. |
| SHEUKH RAJABU KIUNGIZA AKIWA NA SHEIKH WA MKOA WA MANYARA WAKIFUATILIA KWA KARIBU KONGAMNO HILO |
| MUDIYRU WA MARKAZI YA CHANG`OMBE JIJINI DAR ES-SALAAM SHEIKH AWADHI ABDUL-ADHIYMU AKIKABIDHI ZAWADI YA MKUU WA MKOA KWA MKUU WA WILAYA YA MONDULI |
MKUU WA WILAYA AKITOA SHUKURANI ZA DHATI KWA KUPOKEA ZAWADI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA Mh.Mrisho Gambo
| HAWA NI BAADHI YA WAUMINI WAKIWA KWENYE KONGAMANO HILO |
| MASHEIKH WAKITATHMINI NAMNA KONGAMANO LILIVYO FANA |
Friday, 7 October 2016
MASJIDU DARUL MUSTWAFA MTAA WA BONDENI KATA YA TERATI
Posted By:
uwasuwa
on 16:56
Moja katika ziyara ambazo wanaendelea nazo UWASUWA ni pamoja na kutembelea msikiti ambao kiwanja husika kilitolewa WAQFU na familia ya .................tunamumba M.Mungu awalipe kila la kheri kutona na nia yao hiyo na pia M.Mungu atuongoze sisi katika kufanikisha malengo ya watoa WAQFU.
![]() |
| مسجد دار المصطفى |
![]() |
| HUU NDIO MSIKITI WA DARUL MUSTWAFA KAMA UNAVYOONEKANA KWA MBALI |
![]() |
BAADHI YA WANAUWASUWA WAKIWA NA WENYEJI WAO NJE YA MSIKITI
![]() |
| HII NI SEHEMU YA NDANI YA MSIKITI |
![]() |
| MWENYEKITI WA UWASUWA AKIWA KATIKATI YA WALIMU |
![]() |
| MWALIMU ISSA MUHAMMAD AKIHABARISHWA JAMBO NA MWENYEKITI KUTONA NA MAPOKEZI MAZURI NAMNA WALIVYO POKELEWA NA WENYEJI WAO |
| HAWA NI BAADHI YA WAUMINI KIJIJINI HAPO |
| KIKAO MAALUMU AMBACHO AGENDA KUU ILIKUWA NI NAMNA YA KUJENGA MSIKITI HUU AMBAO UMEJENGWA KWA MUDA |
![]() |
| BAADHI YA WANAUWASUWA WAKIPOKEA TAARIFA ZA KUFURAHISHA KATIKA KIKAO BAADA YA KAMATI TEULE KURUDI KATIKA ZIYARA HIYO AMBAYO ILIKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA |
![]() |
| WANAUWASUWA WAKIWAZA NAMNA WATAKAVYO FANYA ILI KUWEZA KUPEANA MAJUKUMU YA KUJENGA MSIKITI HUO |
Subscribe to:
Posts (Atom)





















