Baraza la ushauri la usala la nchi ya Iran limeyaonya mataifa ya Kiislam duniani kote kuwa macho kutokana na hila za nchi ya Marekani.
wito huo umetolewa na Dakta Ali Larijani na kuyataka mataifa ya Kiislam kutokukurupuka kufuata msingi wa demokrasia wa nchi ya Marekani ambao umekuwa kwa kiasi kikubwa ukikandamiza mataifa hayo ya kiislamu kwa maslahi yake binafsi.
0 comments:
Post a Comment