9 Agosti, 2014 - Saa 11:37 GMT
Rais Obama amesema kuwa
hatakubali wapiganaji wa Kisunni kubuni taifa la kiislamu katika maeneo
inayodhibiti ndani ya mataifa ya Syria na Iraq.
Obama alikuwa akizungumza katika mahojiano na
gazeti la New York times baada ya marekani kutekeleza mashambulizi ya
angani dhidi ya wanamgambo wa ki-suni ambayo amesema yalikuwa muhimu ili
kuulinda mji wa kikurdi wa IrbilObama amesema kuwa marekani ina maslahi yake katika kuyazuia makundi ya wanamgmbo mbali na kusitisha mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa dini zilizo na wachache.
Wakati huohuo Rais Obama amesema kuwa hatakubali wapiganaji wa Kisunni kubuni taifa la kiislamu katika maeneo inayodhibiti ndani ya mataifa ya Syria na Iraq.
Obama alikuwa akizungumza katika mahojiano na gazeti la New York times baada ya marekani kutekeleza mashambulizi ya angani dhidi ya wanamgambo wa ki-suni ambayo amesema yalikuwa muhimu ili kuulinda mji wa kikurdi wa Irbil.
Obama amesema kuwa marekani ina maslahi yake katika kuyazuia makundi ya wanamgmbo mbali na kusitisha mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa dini zilizo na wachache.
0 comments:
Post a Comment